blog

Lyle Lovett - Age, Family, Bio

published on
Multiple Grammy Award-winning country singer who met his first wife on the set of The Player. His song "Cowboy Man" was charted at #10. His song "If I Had A Boat" has accumulated more than 22 million streams on Spotify.  Before Fame He studied German and journalism at Texas A&M University. After graduating from college, he signed with MCA Records.  Trivia Many of his albums have been Gold-certified, including Lyle Lovett and His Large Band. Read More...

Mbunge Oscar Sudi kulala korokoroni kwa siku 2 zaidi akisubiri uamuzi wa dhamana

published on
Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi ataendelea kuzuiliwa tena kwa siku mbili zaidi akisubiri uamuzi wa dhamana Sudi anakabiliwa na mashtaka kadhaa ikiwemo ya kutoa matamshi ya uchochezi, kumiliki silaha kinyume na sheria na kukataa kukamatwa. Habari Nyingine: Seneta Malala adai maisha yake yamo hatarini, atiririkwa machozi mbele ya kamati ya seneti Mbunge huyo alijisalimisha katika kituo cha polisi cha Langas mjini Eldoret Septemba 13, akiwa ameandamana na wakili wake ambaye ni mwakilishi wa wanawake wa Uasin Gishu Gladys Shollei. Read More...

Museveni awataka wanawake Uganda kutozaa zaidi ya watoto 4

published on
-Rais Museveni amewashauri wanawake wa umri mdogo kutoka Uganda kutozaa zaidi ya watoto wanne, Ijumaa Februari 2 -Museveni alinukuu Biblia na kueleza jinsi magonjwa kama kaswende yalifanya watu kuepuka ngono na wanaume wengi -Museveni alisema wakati wa sherehe ya kutoa shukrani ya Adyeeri Muhanga, mamake mbunge wa Burya Margaret Muhanga, nyumbani Fort Portal Rais Yoweri Museveni amewashauri wasichana wachanga kutozaa zaidi ya watoto wanne kwa sababu itakuwa rahisi kuwalea kutokana na hali ngumu ya uchumi. Read More...