'Chef Boot Camp' Was Filmed in This Location to Give Chefs Home AdvantageBy Anna GarrisonUpdated April 8 2021, 2:09 p.m. ET
Source: InstagramIn a time where cooking shows have been doing their absolute best to continue despite a global pandemic, Food Network's Chef Boot Camp has finally revolutionized the art of a cooking competition from home. No more quarantine bubbles or social distancing — Chef Boot Camp makes safe competition easy! Read More...
-Aliyekuwa mchezaji wa Harambee Stars na Gor Mahia Ben Oloo ameaga dunia
-Mchezaji huyo wa zamani wa kandanda alipatikana akiwa amekufa Jumatatu aubuhi, Februari 26
-Chanzo cha kifo chake hakijabainishwa
Sekta ya kandanda nchini inaomboleza baada ya mchezaji wa zamani wa Harambee Stars na Gor Mahia, Ben Oloo, almaarufu ‘Breakdance’ kuaga dunia.
Habari Nyingine: Rubani atua ghafla baada ya abiria kuchafua hewa katika kisa cha ajabu
Mchezaji huyo mwenye talanta kubwa alipatikana mfu Jumatatu asubuhi, Februari 26 nymbani mwake, Kaa Chonjo, Mombasa. Read More...